Jamani nipo kwenye group la familia pamoja na;
1: Baba na Mama,
3: Wadogo zangu na wajomba,
5: Ndugu wengine,
Sasa bahati mbaya nimetuma video za ngono Tatu bila kujua yani dah nime left na kuzima data..Hapa kichwa kinawaka Moto balaa... Kwani niaibu kubwaa hii... Naombeni ushauri nifanyeje kujisafisha nisionekane punguani...!!! Msinitukane lakini !
0 Comments