Meseji nzuri ya kumtumia laazizi wako kumwambia jinsi unavyompenda



Tokeo la picha la love sms


naukunjua moyo wangu huishi milele maishani ,nafungua
nafsi nikupende wewe pekee,nafunga milango ya moyo wangu
ili kutokupokea ugeni wowote wa moyo zaidi yako
mpenzi.nakupenda sana laazizi

Post a Comment

0 Comments