IRENE UWOYA AKIRI KUWA NI MJAMZITO, AONYESHA FURAHA YAKE


Msanii wa filamu Irene Uwoya amekiri kwamba ni kweli yeye ni mjamzito huku akipata kigugumizi kumueka wazi baba kijacho wako.

Muigizaji huyo amedai hana sababu ya kuficha suala hilo kwa kuwa anaamini watoto ni baraka na anapenda kuwa nao wengi

Post a Comment

0 Comments