Hii Dunia Masikini ya Mungu Sijui Tunaelekea Wapi. Yaani siku Hizi ni Rahisi Kutembea na Mke wa Mtu Kuliko Asiyeolewa



Hi Pals,

I hope mko poa Right.

Kusema ukweli mimi ni kijana ninaye ishi uswahilini,na kutokana na kuishi uswahilini imenifanya nijifunze vitu vingi.

Mimi huwa sishindi nyumbani ila weekend ndio huwa nashinda nyumbani,licha ya kushinda nyumbani weekend hiyo fupi imefanya nijifunze kuhusu hawa wake za watu.

Nimegundua asilimia 80 ya wanawake walio olewa wana chepuka na kati ya hao asilimia 20 walio baki basi kati yao wanatafuta njia au sababu za kuchepuka.

Hawa wake za watu asilimia kubwa huchepuka ili kutafuta good sex and heavy,ni wanawake wachache walio olewa huchepuka ili wapate pesa,

Mimi kwa huu muda mchache ambao nime shinda nyumbani nimebaini kuwa asilimia kubwa ya wake za watu hasubiri umtongoze ila kuna ishara atakufanyia au vitendo ili uweze kuingia kwenye himaya yake,

kuna mdada ni jirani hapa ameolewa na mume wake ana kila kitu,mwezi wa 7 nikiwa hom nafua alimtuma mwanae hot pot mbili zimejaa vyakula,dogo akanambia,mama kanituma nikuletee chakula,can imagine huyu dada nilikuwa sina mazoea naye zaidi ya salamu tu,nilipokea kile chakula nikapeleka ndani then nikarudi kufua,nilivyo maliza kufua nikala ule msosi,kusema ukweli kilikuwa ni chakula cha gharama sana,nilivyo maliza kula nikachukua vile vyombo nikaosha ili baadae niwapelekee ili nishukuru maana mahesabu ya kupika tena siku hiyo sikuwa nayo tena,

Mida ya saa tisa alasiri nikiwa nimekaa zangu kibarazani na laptop yule mdada alikuja nikamkaribisha,tulipiga story sana,baadae akaniuliza,vipi ulipata ule mzigo wangu?

Nikamjibu,nilipata,nikamshukuru sana kwa mapishi,yule dada akasema,mmh wifi anafaidi,,,nikamwuliza.Kwanini,,akanambia wenzio toka tuolewe hata tupike almasi huwezi kusifiwa kama masifa haya uliyo nimwagia,,

Huyu dada nilipiga naye story mpaka tukafikia hatua akaanza kunieleza vitu vya ndani kabisa hasa mapungufu ya mume wake,,,mara oooh basi tu nimeolewa ila mimi yatakuja kunishinda,nikamwambia ,Kwani kuna kitu hupati kwa mumeo?

Mara oooh mume wangu nampenda ila sasa ninahisi kumchoka,ikabidi niingize utani, Au show hapigi ile sana ninii,,akaguna,,,mmmh hiyo pia inawezekana,Ikabidi nimshauri,,hilo tatizo haliwezi kufanya umchukie mumeo coz hilo ni suala dogo,wew mwambie ukweli kuwa hutosheki,atakuelewa tu,Huyu dada alichonijibu ni kuwa,mimi mwenzio nishamchoka,Ikabidi tena niingize utani,,basi nipe mimi,,,mmh lakini siyo rahisi unavyofikiria (akasema hvo),

Tuliendelea kupiga story mpaka saa 12 jion,akaniomba namba ya simu,toka hapo duuh,umekula mpenzi,mara oooh nimekumicc nataman weekend ifike nije tushinde wote,mara oooh naskia baridi,

Siku moja nikiwa zangu hom jumapili nimetoka misa akaja kanivalia khanga tu,nikasema Leo hapana,kamata piga sana miti,toka siku hiyo ikawa ni mwendo wa kunisumbua,yani mpaka usiku mume wake akiwa ameenda kuoga Anaweza kukwambia aje umpige kimoja,

Huyu dada nilikuja kumwacha baada ya kuona anakoelekea ni kutafuta njia ya kumuua mume wake,mana kuna siku aliwahi kunitamkia kabisa akisema anatafuta dawa ya kumfanya mume wake awe chizi au afe kabisa,na nilichokuja kugundua ni kweli alikuwa kwenye mchakato huo,nikaona suruhisho ni mimi kumpiga chini cz jamaa alikuwa ni kama kijana mwenzangu so nilimwonea huruma.

Dada huyu alifanya kila njia ili niweze kurudi kwake ila alishindwa Ikabidi azoee,

Kilicho fanya nilete huu uzi ni kuwambia watu walio oa kuwa mke wako ukisha mgundua kuwa anachepuka au kumhisi ni bora uachane naye,acha kusikiliza ushauri wa watu eti ukimfumania mkeo kaa naye umwulize kwanini kafanya hvo,huo ni ujinga,ukiona mwanamke kachepuka ujue kuna mapungufu makubwa kashaona kwako,Na mwanamke akiwa ndani ya ndoa akachepuka hawez tena kubadilika Hata akalishwe na ukoo mzima,

Mwanamke akichepuka,tambua kuwa pesa yako wew mwanaume ndo inatumika kwenda kumfurahisha yule mwanaume wa mkeo,na bado hela yako itatumika kwenda kwa waganga ili akufanye zuzu ili usimfuatilie,na kwa akili za baadhi ya wanawake anaweza akakupa hata sumu ili ufe kusudi abaki akienjoy na mchepuko wake,

Kikubwa zaid na cha kusikitisha ni kuwa wanawake wengi walio olewa wakichepuka hujikuta wakiingiliwa kinyume ili kufurahisha zaidi michepuko yao,hili nimelishuhudia Jana tu kwenye simu ya mshikaji ndo nikapata nguvu zaidi ya kuleta uzi huu,Narudia tena kusema ukigundua mkeo anachepuka na ukathibitisha ni heri uachane naye,usipoteze muda wa kutafuta ushauri cz hatabadirika tena,Anaweza kuchange ndani ya miezi kadhaa ila akarudia Yale yale na kabla hajarudia lzm akufanye zuzu kwanza,Na mwisho wa siku UKIMWI unao.Acha kusema eti mna watoto tayari,chukua watoto peleka kwa mama yako au tafuta beki tatu akulelee watoto japo siyo sawa ila utakuwa umejiweka salama.

Jimmy-De

Post a Comment

0 Comments