Kisayansi hakuna madhara kujamiiana na mwanamke akiwa kwenye hedhi kwani kufika kileleni hupunguza maumivu na idadi ya siku za hedhi. Hii ni kwa sababu wakati mwanamke anapofika kileleni misuli ya nyumba ya uzazi hujikunja na hivyo tando laini (hedhi) hujinyofoa na kutiririka.
Pamoja na kushiriki tendo hilo kuna faida hizo lakini kunaongeza hatari ya maambukizi kirahisi ikiwamo VVU, virusi vya homa ya ini na magonjwa yanayoenea kwa kujamiiana na kugusana na damu
0 Comments