Yani sijui ni kulogwa au nini! Yaani haka ka tabia ka kupenda wanawake wenye makalio makubwa sijui wanaume wa kibongo mmekatoa wapi! Yan mwanamke aliyefungashia akipta mbele ya kundi la wanaume akili yote inahamia kwenye makalio!..akina dada nao mnatuumza sana na hayo mavazi yenu ya utata!
Hivi kwani mwanamke mwenye kalio kubwa ana nini! Mbona tunakuwa mapunguani kiasi cha kuacha wake zetu waliopigwa pasi kisa eti hawana mzuka! Afu nasikia kumbe mnapenda makalio makubwa kwa sababu mnakula mambo mengine ya sodoma na gomora..hata aibu hamna mnavyoongea vijiweni kuwa yule anagawa T.... TUsipoangalia tutazidi kutumia arv mpaka basi!
TUBADILIKE! There'z NOTHING BTN THERE...ONLY MAJANGA!
0 Comments