ZE AKILI ZANGU ZA USIKU LIVE: ..
"Now Vijana wadogo hebu tuelewane kidogo hapa unapoanza kumsomesha Mchumba unajibebesha mzigo wa Wazazi ambao sio wako so matokeo utaishia kuumia tu ...mambo ya kusomesha Wachumba hayakuhusu gademitti ...Hujiamini badala ya kuwa Mchumba unataka kuwa na Mzazi unataka asikuache akuonee huruma kwa sababu umemsomesha utaumia tu kama ni lazima basi msomeshe Mke tena ukishamshusha engine kwanza na mtoto angalau mmoja lakini mke hujamshusha engine unamsomesha na yeye pia WAFWAZZZ ni simple Commonsense wala haihitaji kuwa na PhD kuelewa...badala ya kujisomesha mwenyewe unaanza kujifanya mzazi na kuanza kusomesha Mchumba WAFWAZZZ ...I mean simjui Mamen hata mmoja aliyemsomesha Mchumba akafanikiwa utaachwa tu cause kule College gademu Mchumba wako atakutana na level yake utawachwa tu! ...I mean I am just saying take it or leave it! ..ILA MSITUCHOSHE...U know and THIS CASE IS CLOSED! - @lemutuz_superbrand

0 Comments