Habari ya wakati huu ndugu wasomaji wetu wa darasa la mahusiano leo tutafundishana umuhimu wa kuzungumza na mpenzi wako unapokuwa faragha.
Namaanisha unapokuwa sita kwa sita huku ukiwa unasikilizia mashine ikufikishe kileleni.
Ni jambo nzuri unapokuwa faragha na mpenzi wako ukawa unazungunza zungunza ama unaugulia ule mchezo hii inaamsha mshawasha wa kuendelea na penzi.
Kuugulia katika mapenzi haina maana kwamba unakuwa unaumia hapana unakuwa unaipata raha fulani ukiwa unaisikilizia mchezo ukiendelea.
Jamani kuna kelele za mahaba hapa naomba tuwekeane sawa hizo ndio zile zinazotakiwa wakati mnapokuwa mnafanya mapenzi.
Na kelele hizo huwa sio za sauti kubwa hadi kuwasumbua majirani. Kelele za taratibu huku mkiendelea kupapasana na mchezo ukiendelea bila kuwasumbua majirani.
Sasa kuna wale ambao utasikia wanapiga yowe hapa mimi kwa kweli ndio huwa ninashindwa kuelewa yowe hiyo kwamba ndio kafikishwa kileleni ama utamu kwake ndio mzuri kuliko wa wengine au??
Huwa najiuliza maswali nakosa majibu yaani wakiwa wanafanya hadi mtaa wa pili wanajua leo jogoo linawika. Hivi hizo yowe mwenzetu ni utamu tu ama ni maumivu yanakufanya upige kelele nashindwa kuelewa ujue.
Embu tujitahidi kuzuia hayo makele yenye sauti kubwa mpaka unawashtua majirani. Ule mchezo wala sio wa kupiga mayowe ni wa kuenda nao taratibu huku ukiwa unatoa zile sauti za mahaba ambazo bila shaka mnazifahamu.
Pale mchezo unapoanza kukolea kuna maneno ya mahaba yanakutoka lazima umuambie baby wako huku mkiendelea kufurahia safari yenu ya kufika kileleni.
Sasa kwa wale wanaopiga mayowe sijui kama wenzetu wanapata yale maneno matabu ya kuwatamkia wapenzi wao. Hivi ataweza kumuambia mpenzi wako my sweety nafurahia penzi unalonipa umejua kuziteka hisia zangu. Huyu anayepiga hayo mayowe ama yule anayetoa sauti kubwa kila akiingiziwa mashine ataweza kumtamkia mpenzi wako maneno yenye mahaba.
Sauti za mahaba zina ongeza mihemuko katika penzi kama ulikuwa hujui jitahidi kumfanyia mpenzi wako lazima uifurahie shoo.
Kuna wale ambao hawapo kwenye mayowe wala kwenye sauti za mahaba wao ni kimya mwanzo wa gemu hadi mwisho wa gemu.
Jamani mbona mnataka kuwafanya watu waone mapenzi ni mchezo mgumu hivi mnaijua raha la kuchezea pipi ya kijiti ha ha ha ha asikuambie mtu hasa ukimpata anayejua kuizungusha lazima sauti laini ikutoke.
Hao wanaokaa kimya wakati wa faragha wanatuaibisha jifunzeni kuwatamkia wapenzi wenu maneno matamu sio mnakaa kimya.
Pia ukiona mpenzi wako anaanza kutoa sauti kubwa unaweza ukamtembezea denda taratibu huku game likiendelea na baada ya muda mchezo ukaisha mkaanza kupongezana kwa kufika kileleni.
Ni vizuri tukawa wabunifu katika mapenzi ili kila mmoja aweze kuufurahia mchezo anapokuwa faragha.
0 Comments