WANAUME JIONGEZENI HIVI MNAPOKUWA FARAGHA

Habari ya asubuhi wapendwa wetu karibuni tena katika darasa letu la mahusiano tujifinze mambo mbalimbali.

Leo nitazungumzia mada ya wale wanaume wenye haraka ya kufanya mapenzi bila kumuandaa mpenzi wake.

Kwanza mwanaune unatakiwa kujua umuhimu wa kumuandaa mwanamke wako pindi mnapokuwa faragha na sio mkishakutana tu basi umevua nguo zako na kuanza kuchomeka mashine yako.

Kufanya hivyo sio sahihi kwanza tumia hata lisaa kuchezeana na mpenzi wako, anza kumuanda utakapomuona huyu tayari kashaanza kulegea chukua mashine yako na kumuingiza taratibu wala usitumie nguvu.

Ule mchezo ndugu yangu ili uweze kuufaidi nenda nao taratibu wala usiwe na haraka utafurahia shoo na mpenzi wako kufika kileleni na wote kwa pamoja mtakuwa mmefurahia penzi.

Sasa kuna wale wanaume wao wana haraka ya kufanya mapenzi kabla ya kuandaana huwa nashindwa kuelewa haraka zao zinakimbilia wapi? Maana mchezo akimaliza anakimbilia kulala ukutani unajiuliza ukuta ulikuwa unamuaharakisha au ni kipi aswa kilichokuwa kinamkimbiza utasena labda katoka gerezani leo hajawahi kukutana na mwanamke miaka 10 anaona anachelewa ha ha ha ha nacheka utazani ni mazuri.

Embu wanaume acheni huo mchezo wa kuwahi kuingiza mashine bila maandalizi.

Naomba utambue kuwa mwili wa mwanamke na mwanaume upo tofauti. Mwanaume anaweza akamuona mwanamke tayari hisia zimemjia lakini mwanamke hisia zake zipo mbali.

Hivyo ni lazima umuandae mpaka nyege zitakapokuwa zimempanda ndipo umuingizie mashine yako la sivyo utakuwa unamuumiza tu na kujikuta akifanya mapenzi na wewe hafurahi.

Lazima umfanye mpenzi wako afurahie penzi kwani kuna faida nyingi za kumuandaa mpenzi wako kwanza utamfanya afike kileleni pili hawezi kupatwa na maumivu anapokuwa anacheza ule mchezo.

Pia utamfanya ajisikie raha ya penzi kutokana maandalizi uliyoyafanya kwake, hivyo utamfanya kila dakika kukumbuka penzi ulilompa.

Wanaume ni muhimu kuwa wabunifu pindi mnapokuwa faragha. Kuandaana ni jukumu la kila mmoja, hivyo usiwe mtegeaji kwa vile tu mashine yako imeshasimama.

Usiangalie kusimama kwa mashine angalia je mpenzi wako yupo katika hisia na kama bado jitahidi kuhakikisha umemuweka katika 18 zako ndipo uanze kumtembezea mashine.

Jamani kuna baadhi ya wanaume wanakera katika mapenzi unatoka tu kuoga kisa mashine yake imesimama anang’ang’ana kuingiza nashindwa kuwaelewa ujue.

Ndio kusema ana midadi sana kuliko mwenzake? Hawa ndio wanasababisha wanawake wao kushindwa kufurahia mapenzi.

Embu jirekebisheni hiyo tabia yenu ili wote kwa pamoja waweze kufurahia mapenzi.

Bila shaka umenielewa vizuri tukutane tena kesho katika ukurasa huu. Nikutakie kazi njema.

Post a Comment

0 Comments