WATU MNAOMSEMA SANCHI NI WIVU TU


Modo maarufu Bongo (sociallite) Jane Rimoy ‘Sanchi’ amesema watu wanaomsema kuwa ana miguu mibaya ni wivu tu unawasumbua.

Akizungumza na gazeti la ijumaa, Sanchi alisema ameona watu wengi wakimchambua miguu yake kwenye mitandao na kudai ni mibaya, lakini anaamini ni kwa vile wao hawana miguu kama yake ndiyo maana wanaichambua.

“Nawajua wabongo, kama kuna kitu hawana huwa wanasingizia kitu hicho ni kibaya, sasa hata ukiangalia miguu yangu ina tatizo gani, kama si wivu tu unawasumbua,” alisema Sanch

Post a Comment

0 Comments