SABABU ZA WANAWAKE WA MJINI KUCHEPUKA

Kuna mambo ya kujifunza hasa unaposikia kauli kama hizo ambazo hutolewa na michepuko. Michepuko huwa wana kauli nyingi za kukatisha tamaa hasa waliopo katika ndoa ama kwa wale wanaotaka kuingia katika ndoa.

Hayo ni maneno ya michepuko na wala yasikuumize roho wewe jambo lako la msingi ni kupambana na mume wako unapokuwa naye faraga na kuhakikisha hawezi kwenda kwa mchepuko.

Wanaume huwa wanapenda vitu vidogo vidogo hivyo unapomtimizia hawezi kuangaika kwenda katika michepuko jambo la kwanza unalotakiwa kuzingatia unapokuwa faraga jitahidi kubadilisha mikao yaani staili katika kufanya mapenzi.

Kuwa mbunifu wa kubadilisha staili na kuhakikisha unamsisimua katika hizo staili unazompa na kupagawa kikamilifu. Unapokuwa unashindwa kuisimamia vizuri hiyo idara mumeo atakwenda kwa hao nyakunyaku ambao watamchetua na kumpatia staili ambazo hujawahi kumpa na kuanza kufikirika penzi la mchepuko kuliko la nyumbani.

Usikubali mchepuko kuiteka ndoa yako ama kuvunjika kwa mahusiano jitahiddi kuangalia ulipokosea na kujirekebisha haraka hiyo ndio dawa ya kumaliza mchepuko.

Unazani mchepuko ana kipi cha kukuzidi wakati mashine ni ile ile hapo ni ubunifu ndio tunazidiana hivyo changamka onyesha utundu wako kitandani usiogope jiachie tumia vizuri viungo vyako vya mwili.

Kuna wale wenzangu mpo kimya katika penzi mwanzo hadi mwisho haujulikani moto wala baridi umefika kileleni au hujafika haieleweki. Embu ongea na mwenzako unapokuwa faraga kama hajakukoleza muambie na kama kakukoleza basi mpe mabusu yake na kumueleza my love wangu  umejua kunifikisha ndio maana akila yangu inapagawa kila nikuonapo.

Jaribu kuongea na mwenza wako vizuri sio mmemaliza mchezo unaanza kukumbushia ule ugomvi wa juzi na kuanza tena kugombana hapo haina maana kama umeamua kumvulia nguo na kuucheza ule mchezo mtamu basi tofauti zenu zinatakiwa kuisha kabla ya kuanza mchezo.

Ule mchezo hahuhitaji mtu mwenye hasira utajikuta kileleni haufiki kwa uzembe wako huku ukijikuta unapata maumivu wakati unafanya mapenzi.

Jambo jingine ambalo linasababisha wanaume wetu kwenda kwa mchepuko ni baadhi ya wanawake wanakuwa na midogo yaani kuongea sana kila kukicha jitahidi kupunguza mdomo wanaume akili zao kama watoto wanataka kubembelezwa kila kukicha.

Usipofanya hivyo anatafuta mchepuko ili abembelezwe. hivi kweli unaruhusu mchepuko kisa umeshindwa kumbembeleza mumeo bora ingekuja sababu nyingine labda kama umekuwa mgonjwa kwa muda mrefu lakini sio ushindwe kumbembeleza mumeo  pasipo na sababu.

Mchepuku utamsikia anakumbia huwezi kufukuzia kuku peke yako asikumbia mtu kuku wako mwenyewe wala huhitaji kusaidiwa kumfukuza huyo kazi yake ni kumuwindia chumbani hiyo ndio dawa yake.

Nikueleze tu mwanamke mwenzangu hivi mwanaume wako umempatia dozi ya uhakika huko kwa mchepuko atafuata nini kama ni huduma za kwako zina ubora.

Unajua wapo baadhi ya wanaume wanaweze kuchepuka wakaanza kujutia usaliti walioufanya huku wakisema hakuna chochote nilichokipata ni bora nikatulie na mke wangu ananipa vitu vya uhakika. Hapa ina maana usingekuwa unatoa vitu vyenye uhakika ina maana angeendelea kuwa na huo mchepuko.

Kuna wanawake wengine wanasema mwanaume hata umpatie staili zote anachepuka sijakataa ila nataka nikuambia mwanaume anapokuja kwako hafuati staili zako tu je una kauli nzuri na mpenzi wako.

Usijisifu unampa staili zote alafu anatoka nje.. angalia na maneno unayompa je yanamsisimua ama yanampeperusha kwenda kutafuta faraja kwa mchepuko.

Post a Comment

0 Comments