IJUE STAILI HATARI ILIYOTAJWA KUVUNJA MASHINE KWENYE MAPENZI

Staili hiyo ni miongoni mwa staili ambazo wanaume wengi huipenda kuitumia anapokuwa faraga na mpenzi wake.

Huwa wanadai staili hiyo ya mwanamke kumlalia mwanaume kwa juu humpagawisha na kumvuta hisia zake kama sumaki huku akibakiwa na msisimko.

Mwanaume mwingine usipomlalia kwa juu anakuambia afurahii mapenzi na utamsikia anakuambia naomba uje kwa juu kwa sauti ya mahaba na kujikuta unaisimamia mashine kwa ajili ya kuipeperusha safari ya mahaba.

Msomaji wangu ngoja nikupeleke moja kwa moja kwa watafiti wetu tuwasikilizi wana yapi ya kusema kuhusiana na hiyo staili yenye mahaba ndani yake.

Watafiti  wameangalia ni staili ipi ambayo inaweza kuwa ni hatari kwa mwanaume na wameitaja hiyo inaweza kuvunja uume.

Wanasayansi nchini Brazil wamefanya utafiti ili kubaini ni mtindo upi katika ufanyaji tendo la ndoa ulio hatari zaidi kwa mwanaume.

Kwa mujibu wa utafiti huo, mtindo ambao mwanamke anakuwa juu ya mwanaume ndio hatari zaidi na huwa na risk kubwa zaidi ya kusababisha hata kuvunjika kwa uume.

Wanasayansi hao wanasema:Pindi mwanamke anapokuwa juu, mara zote hucontrol movement na uzito wote wa mwili wake ukitua kwenye uume uliosimama na kushindwa kuzuia pale uume unapokuwa umeingia vibaya kwasababu madhara huwa ni madogo kwa mwanamke bila maumivu lakini ni mabaya kwa mwanaume.

“Pindi mwanaume anapokuwa akicontrol movement, ana nafasi kubwa ya kuzuia kutokana na uume wake kuwa sehemu mbaya na hali inayopelekea kusikia maumivu na hivyo kupunguza hatari.”

Post a Comment

0 Comments