Wapenzi wa jinsia moja waambulia kipigo kizito ndani ya basi, kisa?



Wapenzi wa jinsia moja waliokataa kupigana mabusu ndani ya basi wamejikuta wakiambulia kipigo kizito kutoka kwenye kundi la vijana ambao waliwashinikiza kufanya hivyo. 
Melania Geymonat na mpenziwe Chris walijeruhiwa baada ya kukataa kutii amri ya kundi la vijana hao waliokuwa wanasafiri nao kuelekea Camdem, London.
Vijana hao ambao walionekana wenye utukutu waliwataka wapenzi hao wa jinsi moja wapigane mabusu huku wakiwatazama na hata kushiriki katika vitendo vya ngono. Kutokana na tukio hilo, maafisa wa usalama wanafuatilia kisa hicho chenye kustaajabisha.

Post a Comment

0 Comments