UTAFITI; WATU WANAOCHELEWA KULALA WAPO KATIKA HATARI YA KUFA MAPEMA


Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Surrey cha nchini Uingereza umebaini kuwa watu wanaochelewa kulala wana uwezekano mkubwa wa kufa mapema kuliko wanaowahi kulala

Msingi wa utafiti huo ni kwamba watu wanaolala muda mzuri na kuamka mapema wanaweza kuishi muda mrefu ukilinganisha na wale ambao wanachelewa kulala

Matokeo ya utafiti huo umechambua sampuli ya watu laki 5 wenye umri wa miaka 30 hadi 73 ambao walifuatiliwa tabia za ulalaji wao kwa zaidi ya miaka 6 na nusu

Post a Comment

0 Comments