USIJISIFU UNA MASHINE KUBWA, UNAMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO??

Wapo baadhi ya wanaume ambao wamekuwa wakijisifu kuwa wanajua kuchochea mashine wanapokuwa kwenye ule mchezo wa chumbani hadi mwanamke hawezi kumsahau.

Hapa naomba tuwekane sawa mwanaume hasifiwi kuchochea mashine yake au kuwa na uume mkubwa ndio kumfurahisha mwanamke wake.

Jambo la msingi je unamfikisha mwenza wako au ukishakojoa wewe na kumaliza mchezo ndio kujisifu unajua kuchochea mashine.

Wakati mwingine hawa wanaume wanapoona mwanamke analia katika mapenzi wanazani kuwa umemkoleza nani kakuambia hayo kuna mlio wa kufurahia penzi yaani unapofikishwa kileleni.

Lakini mtu anabubujika hadi machozi wewe unaenda kujisifu nimemtembezea moto wakati mwenzako hata hajafika kileleni achine hizo sifa za kijinga.

Mwanamke ambaye anafanywa vizuri na mwanaume wake huwezi kumkuta anabubujika machozi kuna mlio fulani wa mahaba amabo atautoa wakati anapokuwa anafika kileleni na sio chozi kumtoka mwanzo wa game hadi mwisho wa mchezo.

Wanaume sijui nani anayewadanganya kuwa mwanamke anapolia katika mapenzi ni kwamba mashine ni nzuri hapo unatakiwa kujichunguza ni kweli analia utamu au la.

Je ni utamu gani ambao anaolia wakati hajafikishwa kileleni?

Wapo wengine wanapenda kuwaigizia wanaume kulia kwamba kafanywa vizuri lakini ukienda katika uhalia sio kweli na wapo wengine hutega mingo zao ili apate fedha.

Hapa jambo la msingi ambalo wanaume wanatakiwa kuzingatia usijisifu unajua kujamiana wakati hujui kumfikisha mwenzako kileleni.

Sifa hizo ziendane na kumfikisha mwanamke wako kileleni kwa kuhakikisha amekojoa sio ukishakojoa wewe na kumaliza mchezo ndio kujisifu unaliliwa na wanawake wakati unawafanya.

Utakuta huyo anayejisifu hivyo hajui hata kumuandaa mwanamke na wala hajui ni lini mwanamke wake kafika kileleni.

Mwanaume hasifiwi mashine jamani je anajua kuitumia inavyotakiwa je anajua kumuandaa mpenzi wake? Je anamfikisha mwenzake kileleni?

Kama utayaweza hayo mambo matatu niliyokuuliza hapo una haki ya kujisifia.

Unaweza ukajifu una mashine kubwa lakini kitandani ni sifuri unabaki kumuachia mwanamke wako maumivu.

Ule mchezo wa mapenzi una raha yake kama mmeandaana vizuri na hakuna maumivu hutokea lakini wapo baadhi ya wanawake hupata maumivu makali na wengine  hata  kutumia feni kujipepea kwenye uchi.

Hapo mwanaume anajisifu kamtembezea mashine sio kweli hakuna mapenzi ya kuumiza lile tendo lina raha yake hasa mkiandaana vizuri na kufika kileleni.

Post a Comment

0 Comments