SALAMA JABIR ALAMBA SHAVU AFCON 2019

Salama Jabir amesema alianza kulifukuzia deal hilo kwa muda mrefu kwa kuwa aliona ana kitu ndani yake cha kufanya kwenye soka chini ya watangazaji wakongwe ambao ataambatana nao.

Mastaa mbalimbali waliohudhuria Iftar ya @dstvtanzania ambayo iliambatana na uzinduzi mpya wa kikosi kazi ambacho kitakuletea michuano ya AFCON kwa lugha ya Kiswahili kupitia vifurushi vyote vya @dstvtanzania

Post a Comment

0 Comments