Ukweli ni kwamba katika mahusiano sisi wanaume ndio tunaplay part kubwa. Mwanaume unapambana unampa mwanamke kila kitu anachohitaji from A-Z halafu anakusaliti, hapo lazima uumie sana.
_Mwanamke hawezi kuumia sana kwasababu yeye ni anakaa tu na kuletewa mahitaji yake na mara nyingi mademu wa bongo hawana cha kumpa mwanaume zaidi ya papuchi(Na sex wanapata raha wote) sasa hapo mwanaume wake akimsaliti hawezi kuumia sana kwasababu hajaloose vingi.
_Pia kimaumbile, maumbile ya mwanaume yapo kwa nje(hata akicheat hamna particles nyingi za mwanamke zinazobaki ndani yake ila fikiria mwanamke akicheat kama sio wewe mwanaume utaenda kuogelea kwenye sperms za mwanaume mwenzio......
USHAURI: Wanaume wenzangu usiwe na mwanamke ambaye hana kipato chochote, usiwe na mwanamke ambaye hajishughulishi na chochote, usiwe na mwanamke ambaye anakutegemea kila kitu. Kuwa na mwanamke anayejiweza kiuchumi ili hata akikusaliti hutaumia sana.
0 Comments