MAKELELE YA JIRANI YANANITESA JAMANI...

Jirani yangu naishi nae kwenye compound Moja na nyumba zetu ziko mbili tu ila zimejengwa kwa kutazamana kwenye madirisha ya Master rooms zetu..

Huyu jirani Ana mke Mmoja ana Tako moja la haja, halafu mpole sana kwa kumtazama, Mke wa huyu jamaa angu ananifanya niwe narudi usiku ili nisimwangalie, Maana Jamaa huanza mechi zake mapema tu kati ya Saa 4 mpaka 5 usiku.

Basi Demu anakelele za miguno, vilio na maneno yanamtoka kwa sauti kubwa.. Napata tabu kwa kweli....

Hebu Tunaoishi Nyumba za kupanga wenye uzoefu na haya matukio tufarijiane cha kufanya!! Kwako ilikuwaje?

Picha haihusiani na mhusikaView attachment 1120703

Post a Comment

0 Comments