Nipo zangu Kasulu, baada ya kazi ngumu Buhigwe kusaka mkate wangu nikaona nipumzike Bar flani, kwakua sina uenyeji nikakaa zangu Kaunta napiga zangu S.lite bariiidi mida ya jioni.
Upande wa pili wa kaunta kuna jamaa brazameni yupo na demu mkaliiii saaana yaani ana dred na karangi ka mtume huenda akawa mkongo.
Jamaa anapiga Jack Daniels na shost anakunywa Windhook, jamaa kaanza kusinzia, mara wakaingia jamaa wengine kama wa3 wana gari ya UNHCR wakawa wanapiga Mazaga ya nje hata siyajui majina kale kademu kakawashobokea na jamaa kazima. Wakasepa nae huku naangalia
Kamoyo kameniuma kama demu wangu vile, ningekua mkazi wa hapa hakyanani ningemsaidia jamaa kuwasaka hawa miku...ndu
Saivi nimehamia kwenye Plizna kwa hasira maana jamaa ile anazinduka ananiuliza mm na mdada wakaunta alipoenda demu wake.
Kasulu nimefunga zip naskia ngoma nje nje.
Mijanamke bhana sijui ipoje
Shenzi zenu na mlaanike wadada wote wenye tabia kama ya huyu mwanamke
0 Comments