ERIC OMONDI ANALEWA SANA SIKU HIZI BAADA YA KUACHANA NA MPENZI WAKE

Chantal Grazioli, msichana wa Kiitaliano ambaye alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mcheshi wa Kenya, Eric Omondi, amerudi mtandaoni baada ya kuenda njia panda wii chache iliyopita.

Eric Omondi aliweka habari hiyo kwenye mtandao wa kijamii wa Instagramu kwamba wawili hao hawakuwa pamoja tena na anamtakia mwenzie mema anapoanza maisha mapya.

Msichana huyo wa kiitaliano aliwea picha kwenye mtandao akiwa amevaa bikini na kusimama kando ya bwawa la kuogelea.

Picha hiyo aliweka maelezo haya;

“Hatimaye imefika wakati wa jua, Kenya mpo vipi? Italy mna joto jingi.”


Hata hivyo, baadhi ya wafuasi wake wanafikiria bado wanapendana na ni utani tu. Wakenya hawakusita kusema hisia zao baada ya hao wawili kuachana kwenye mitandao.

jaspermurume:Tutawahamasisha wazee kutoka kwa kabila zote za Kenya ili kukuroga. Ulivunja moyo wa rais wetu. Njuri Ncheke anakuja kwako. Utarudi Kenya na kujipendekeza kwa Eric . Huku ukiimba Extravaganza.

princenewton:Mwana wetu ni kupoteza tu uzito sababu yako.

joewmuchiri: Eric Omondi anakunya sana bana!

Post a Comment

0 Comments