TRUE STORY: HII NDIO SABABU KWANINI SITULII NA DEMU MMOJA

Kweli kabisa mwanamke hapewi moyo (sehemu pekee isiyokuwa na maamuzi katika mwanadamu ni moyo). Moyo ndiyo NGUVU ya mtu hasa mwanaume. Ukimpa mtu nguvu zako hasa mwanamke maana wao ni dhaifu atakufedhesha sana tu. Moyo ndiyo chemchem ya uhai ulindwe kwa gharama yoyote.

Don't sacrife life unnecessary.

Wanaume km tukiweza, tuwapende wanawake wetu kwa kutumia ufahamu (akili) na si kwa kutumia MOYO. Ni wadhaifu sana.

Hata hivyo hauwezi kuishi pekee yako kuna upweke sana.

Hata hivyo haikubariki kuishi na mtu mwenye makwazo eti kwa kuwa tu ya upweke.

Mwambie jamaa yako mwenye hii mada ahamishe upendo kwa dada zetu kutoka moyo na kuuupeleka ubongoni.

Pole kwake kuwa alichezewa sana na yeye asitamani kuwachezea wadada wengine.

Alipenda uzuri tu vinginevyo ilikuwa ni utoto tu. Hivyo kwa utoto ule akakutana na mtoto mwenzake.

Akikua atatafuta ramani ya njia sahihi ya maisha yake.

Sorry mkuu kwa lugha kavu

Post a Comment

0 Comments