STAILI YA MAPENZI AMBAYO BINADAMU AMEIGA TOKA KWA WANYAMA

Kuna style nyingi za kukutana kimwili kwa binadamu, lakini asilimia 80 ya style anazotumia binadamu amecopy na kujipestia.

Moja ya style alizocopy na kujipestia, ni hii ambayo ni maarufu kuliko zote duniani, ambayo wameiga kutoka kwa wanyama.

Wenyewe wanampa sifa mbwa kwa kuiita style ya mbwa lakini hii hufanywa na wanyama wote unaowajua wewe.

Kiufupi style pekee ya kukutana kimwili kwa binadamu wa kiume na wa kike ni wakike kulala mlalo wa mende aliyekufa na wa kiume kuja juu yake.

Zaidi ya hapo asilimia 80 ya kukutana kimwili kati ya mwanamke na mwanaume tumeiga zote.

Post a Comment

0 Comments