SMS nzuri kuhusu maana ya mapenzi


Image result for sms za mapenzi
mapenzi si pombe lkn yanalewesha, wala si kidonda lakini
yanatonesha,wala si maradhi lakini yanaumiza, wala si
njaa lakini yanakondesha ,mapenzi ni uvumilivu kwa
unaempenda

Post a Comment

0 Comments