Baadhi ya wafuasi wa Lupita Nyong'o kutoka Marekani wanashuku iwapo mwigizaji huyo amegeuka kuwa msagaji kufuatia picha moja ambayo imeenezwa mitandaoni
Lupita alionekana akisakata densi na mwanamuziki nyota Janelle Monae kwa njia iliyoibua hisia tofauti kati ya watumiaji mitaandao ya kijamii.
Mwizigaji huyo wa filamu za Hollywood na mwanamuziki huyo walikuwa wakiburudika baada ya kuhudhuria tamasha la Met Gala lililofanyika mjini New York juma lililopita.
Philip Jean-Pierre (Thulsa Doom Jr.)@PJPDesigns
I got too many friends who would stab me if I didn't share this....
Image: Lupita Nyong'o and Janelle Monae dancing@Skinnybtch9 @98nemraK @dragon_emrys @amethyst1 @DayAlMohamed147
30 people are talking about this
Kwenye video hiyo ambayo imeibua maswali mengi miongoni mwa wafuasi, Janelle na Lupita walionekana wakinengua viuno kama wapenzi huku wakionekana kama wanabusiana kwenye jukwaa.
Wawili hao hawakujali iwapo kamera zilikuwa zikiwachukua ila waliendelea kuwa na muda wao mtamu pamoja.
DDD@tinycombatboots
lord janelle monae is such a zaddy...
do you see all that energy she giving lupita?!
Hata hivyo, Janelle hajawahi weka wazi jinsia yake ila kuliwahi ibuka madai kuwa yeye huwa msagaji.


0 Comments