Laiti kwa wenye wake wangeyaona haya ndoa zingekufa leo

Related image


Kuna kauchunguzi nimefanya nikagungua kuwa wake za watu wanachart na wanaume ambao siyo waume zao kwa maneno magumu magumu kiasi WANAUME zao wangeziona ndoa zote zingesimama Leo na karibia kila nyumba yenye ndoa ingekuwa na msiba au ndoa nyingi zingekufa

Mfano nina wake wa watu wanne tunachart whatsp,na messenger hykaMungu ZINATISHA wananitumia had I picha mbovu nabaki nashangaa tu na huwa nawauliza endapo waume zao wakiziona itakuwaje wanasema KILA UKITUMA nafuta hivyo hawezi kuziona 


kama unataka kujua hack cm ya mkeo utashangaa utakayokutana nayo

Post a Comment

0 Comments