
..Habari! Dada zangu mwanaume kuzaa nje ya ndoa ni jambo la kawaida sana ktk dunia hii. Hii ipo tangu zama za mawe za kale. Sasa kuna wamama wanafura mpk eti wanasusa ndoa! Khaa, ukiondoka dume kamili linakureplace faster.
Ushauri wa bure: Ukiona mmeo kapata bastard mkae chini, myajenge kwa upendo ili kunusuru ndoa. Wewe kukimbia ndoa utaishia kujiumiza na kuumiza watoto mliozaa. Pia issues za kuaibishana sijui kupelekana kwa mjumbe ni uzwazwa!
Kumbuka pia mtoto hana hatia, pangeni namna ya kumsaidia asije akawa panya road akakukaba mpk ww mama ake wa kambo!
Na sie akina baba tuwe na busara, mama akikubali kwa upendo kulea mwanao au kukuruhusu kumtunza huko aliko mwanao ni vzr kuilinda heshima na kuwajibika kote vzr.
Life is all about kuenjoy bana!mikwara mikwara ya home inaharibu utamu wa matunda!
Wasalaam!
0 Comments