Katika miaka yangu kadhaa ya kusoma mafanikio, ningependa wanawake waelewe hili.
.
Sio uzuri wa mwanamke utakaomfanya mume wake awe muaminifu. In fact, hauwezi kusema mimi ni mzuri bila shaka mume wangu atakuwa muaminifu kwangu.
.
Sio rangi ya nywele zako, macho ya duara ama shepu matata itakayomfanya mwanaume awe muaminifu kwako.
.
Wapo wanaume wanawa-cheat wake zao na huku wake zao ni wazuri kuliko hata Malkia wa Sheba.
.
Hivyo, kama Mwanaume wako Ha-cheat, sio kwa sababu wewe ni mzuri sana, bali ni kwa sababu ya AINA ya huyo mwanaume (tabia na mwenendo wake).
.
Kinachomzuia mwanaume asi-cheat, kinachomfanya asitamani ku-cheat na wanawake wengine, kinachomfanya awe muaminifu kwako daima kwenye Dunia hii ilojaa kila aina ya vishawishi ni Tabia yake, hofu yake kwa MUNGU na Kiapo chake alichoapa kwamba, atabaki kuwa muaminifu kwako daima. Pamoja na tabia yako ya kumheshimu na kumjali pamoja na mapungufu aliyonayo, na kumuombea sana kwana Mungu kwa kadiri ya Imani yako.
.
Wala sio uzuri wako. ONLY the Fear of God can do that!
.
Mwanaume asiye na vitu hivyo ni kama Jogoo, atalala na tetea yeyote atakaekatiza mbele yake!
.
It's hard to see a queen if you don't know the king.
Alamsiki!!!
0 Comments