Diva wa Clouds FM ashindwa kujizuia kwa Zari



Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Diva The Bawse amemmwagia sifa Zari The Boss Lady kuwa ni mzuri sana na kwenye mtandao wa kijamii unaweza kusema vibaya lakini yeye amemuona 'live'.

Diva amesema kuwa Zari amepokelewa kama Malkia Elizabeth, huku akisema kuwa watu walipomuona walidata na kupiga kelele kama zote.

"Zari ametua Tanzania na amepokewa kama Malkia elizabeth. i mean people walipomuona wamedataaaa kelele kama zoteeey ..... thats Love man duh .... ahh she is beautiful bana ... ngozi yake duuuh aisee beauty tips pls ... 😋 das a goal," aliandika Diva.

"Ila Instagram mtu aweza sema vitu kumbe mtu hajawahi muona memuona live aisee yan what u see is what u get .Kuna Dada anasema Mungu wangu mzuriii ... amekuja fanya kazi ambayo inasemekana $$$$$ jaman Brandingggg .... atar..ndugu zangu," aliongeza Diva.

    

Post a Comment

0 Comments