VIDEO: Makampuni yanayodaiwa na Marehemu Kanumba na Mzee Majuto kitanzini



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe ameweka wazi Bungeni kuhusu makampuni saba ambayo yanadaiwa na marehemu Steven Kanumba na Mzee Majuto. Waziri Mwakyembe ameweka wazi kuwa wasipokubaliana watafikisha suala hilo mahakamani.  
TAZAMA VIEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Post a Comment

0 Comments