Msanii wa Bongo Fleva, Nandy ameonyesha bado ameshindwa ku move on kutokana na kufiwa na aliyekuwa rafiki yake na Boss wa Clouds Media Marehemu Ruge Mutahaba.
Kupitia Insta story Nandy amepost Nyumba iliyokuwa mwanzoni anajengewa na Ruge huku pia akionyesha alivyommiss.
Hizi ndio Insta story aliyoweka Nandy;
0 Comments