Unatumiaje MESEJI kumfanya mwanamke wako Azidi kunogewa na wewe?


Mahusiano yenye Afya hayaji kama matokeo ya Miujiza. Bali ni matokeo ya Uwajibikaji wa Wapenzi katika kuhakikisha wanazijua Sheria za Mapenzi na kuzifuata. 

Moja ya Sheria Muhimu ni "Mawasiliano" ndio ,hapa mwaweza shangaa kwann mawasiliano nasio pesa?... Je nikweli Mawasiliano ni kitu muhimu? .NDIO.

Mawasiliano yaweza kua Ana kwa Ana,au kwanjia ya kuongea kwa simu,Au Ujumbe mfupi wa maandishi, Nasiku izi mambo ya Video call nayo yamerahisisha mawasiliano.(( Nb, Bado haya yasikufanye ukasahau uwepo wako mbele yake ni muhimu sana)).

Leo Najikita katika "MESEJI" a.k.a UJUMBE MFUPI WA MAANDISHI !!! .
Kwanza niweke wazi Moyo unaopenda ni moyo wa UJANA ...ujana ndio unaojua mapenzi ninn!!.
Unautumiaje ujumbe wa 'Meseji' katika kunogesha mapenzi??? .

Mtu mmoja anasema..akiamka anamtumia meseji mpenzi wake "Habari za Asubuhi mpenzi" au Habari za mchana au Habari za Jion, nakutakia usiku mwema, Nilikua bize ndo maana sijakutafuta.

Je umeshawahi Jiuliza, kwa siku anapokea ujumbe wa "Habar za Asubuh, habari za jion, usiku mwema" ... Kutoka kwa watu wangapi??.

Umeshawahi Jiuliza ni kwann anachelewa kujibu meseji zako?.

Umeshawahi jiuliza kwann anakujibu "Usiku mwema Nmechoka kuchati" ??? 

Amekupa Namba yake lkn hujui umuanzaje, matokeo yake unatuma lundo la meseji bila kujibiwa?????.

Here goes , Kama navyosema ,Acha sisi tunaojua Sheria tuendelee kujilia ,Mimi sina pesaaaaa, Limsura langu bayaaaa kauzu kauzuuuuu kabisaa, vimacho kama vya Nyoka. . Lkn sijawah kukataliwa !. 

Turudi kwa mada...Guys ITS NOT ABOUT KUTUMA MIMESEJI ELFU KWA DAKIKA KUMI... THE IMPORTANT THING THAT MATTERS NI *TONE* YA MESEJI YAKO....how do it sound?? Je ina m'turn On ?? Au inamwondolea mzuka ??.

Ni asubuh... Kapokea meseji si chin ya 10 zikisema "Umeamkaje "?? Naww ulivyo ,unatuma iyo iyo "Umeamkaje"? Sasa atakutofautshaje na wengine??

Kwann usijaribu kufikiria siku yake yajana au leo ilivyo?kavaaje alivaaje? Kazi zake ?? Alafu ukazitumia kujipa Marks kubwa?? 

Unampa muda wa kusoma na kuielewa meseji??

Umemtumia meseji, wajua huo muda anafanya nn?? Kwann utafute kujibiwa BADALA ya kutafuta Akuwaze muda wote wa kazi?? 

'Et Pole na kazi , vipi unaendeleaje lakin '??(nahapo hamkua mmeongea toka usiku) Are you Serious??? Kwann usimwambia " natumain Chupi uloivaa imekushika makalio nakuyafanya yawe matamu zaidi , Piga kazi ila naomba unibakishie nguvu kwaajili ya Usiku?" ( huoni atawaza juu ya chupi yake??juu ya makalio yake??na juu ya izo nguvu za usiku( sex) ? 

Ili somo ni pana kidogoooo, ila nachotaka kuwambia niiki " Wanawake wote hapa duniani ni Wazuri wa "Kutengeneza Picha" yaan lugha yako ya Maneno kwao ni Inatengenezwa Bonge la Pichaa ambalo litamfanya akuwaze siku nzima. 

Ivyo basi, Kwa wale wenzangu namm tusokua na pesa za kuchezea bali za kula, kulipa kodi ,kuvaa, boda na daladala na vocha , Hakikisheni mnatumia MESEJI vzur, maneno yenu yawe na Tone tamuuu ambayo itakutofautisha wee na watu wengine na ambayo itamuacha mwanamke anakufikirian siku nzima.
-simple
- funny
-open 

Post a Comment

0 Comments