SMS za Mahaba

Mpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia, hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasa naogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari kukukosa katika maisha yangu

Post a Comment

0 Comments